June 24, 2016

#BETUPDATE

Team ya darasatz iko setup kukuletea update zote zinazoendelea kutokea L&A marekani ambako tuzo za BET zitatolewa weekend hii na mtanzania Diamondplatnumz yuko nominated usikae mbali na darasatz.blogspot.com