June 19, 2016

Arnold Kasigwa sent you a video: "Ray C akamatwa na Polisi usiku wa kuamkia leo!"

Arnold Kasigwa has shared a video with you on YouTube
kama ilikupita hii ya ray c kubebwa na polisi
Ray C akamatwa na Polisi usiku wa kuamkia leo!
Video ambayo imesambaa kwenye mitandao ya kijamii usiku wa kuamkia leo ni hii inayo muonyesha mwanamuziki wa zamani wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila aka Ray C, akitupiliwa kwenye gari la polisi huku yeye akipaza sauti kuomba msaada kwamadai kuwa anabakwa.

Bado haijajulikana haswa nini chanzo cha yeye kukamatwa na Polisi au video hii sio ya tukio la hivi karibuni!
Habari zaidi kukujia.
©2016 YouTube, LLC 901 Cherry Ave, San Bruno, CA 94066